2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Rating never lies
FB_IMG_1782859942649.jpg
 
Bora useme Argentina, Spain nao wa kawaida tu, kwa kifupi France bingwa

Mkuu unajiamini sana, lakini kwa jinsi France wanavyopiga mpira sidhanikama Spain wanaweza huo mziki, anyway nitunze maneno..
Mwaka huu huu hicho kikosi kikiwa ndani wamekula chuma tano toka spain tena yamal kidogo atupie hat trick. Kwenye uero tena wamebondwa. Note this France hachukui kombe. Hua sikosei jama. Nitarudi kuwakumbusha
 
Ngoja tuone...
 
Back
Top Bottom