comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,587
- 17,749
Wakati huo beberu wa kireno hata fainali ya world cup hajawahi kucheza, baba yake yamal ni mdogo kiumri kwa beberu wa kireno.Yamal kabakiza Uefa na ballon d'or
Euro &WC tayari
Dogo anaweza kumaliza boli katika umri mdogo sana.
Yani yamal kacheza fainal ya wc kitu ambacho beberu la kireno linakiota na kimegoma kutokea