min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,634
- 164,933
Paka kadai Spain wanatoka 😅Mpaka iishe
Paka kadai Spain wanatoka 😅Mpaka iishe
Kweli wewe ni takataka pia kashabiki uchwara ka CR7 Unaandika ujinga ukiambiwa ukweli unaleta mambo ya jinsia.
Paka wa ubashiri yuko nchi gani na amebashiri nchi gani itatwaa taji?Paka kadai Spain wanatoka 😅
Kivipi?Hili kombe la dunia lishakua la kiboya sana.
Sijui bwashee ila alianza kuonyesha matumaini kwa Spain ila mwisho akala kibaba cha ufaransa 😅Paka wa ubashiri yuko nchi gani na amebashiri nchi gani itatwaa taji?
Wewe tokea limeanza huoni tatizo lolote.Kivipi?