2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nimeamini kweli nina jicho la mpira. Haya niliyoyaandika hapa niliyazungumza pia mwezi wanne semifinals ya Uefa PSG vs Bayern watu walikua wanajua Bayern anapita mm nikakataa, ikatokea. Mimi nikasema pia French hatoboi kwa spain coz wao mpira wao wanategemea mbio tu. Mtu akishika mpira wanatupiana mipira mirefu so wakikutana na timu inayomiliki mpira wanapigwa hiyo mbinu ndo inayotumika na Barcelona pia kuchapa Madrid. Mimi sichambui mpira kwa mahaba natumia ubongo kutokana na watu wanavyocheza.
Jana Spain walikua wanacheza kwa mabavu ile mimi naiita kata funua na km England au Argentina akikutana na Spain asipocheza mpira wa mabavu na yeye anachezea na Spain anachukua ndoo timu yoyote itakayokutana na Spain inabidi icheze kwa mabavu sana
 
Mkuu, hata head to head France huwa anapasuka mno
 
Hiyo picha sijaiweka kwa bahati mbaya, umeifanya kuwa ajenda kwasababu hujasoma post ambazo nimekujibu.

Huo mtiririko wa matukio wenye aim ya kibiashara na ushabiki ni upi ambao tuki connect na hilo tukio tunapata conclusion ya FIFA kumbeba Olise?

Mfano mimi nikiweka hoja ya Messi na Argentina kubebwa na FIFA naweza ku pointi mapenzi ya raisi wa FIFA kwa Messi.

Infantino alisema anatamani Messi abebe kombe la dunia. (Hii ni average point)

Baada ya kusema kauli hiyo, Argentina alipewa penati 5. Ni idadi ambayo mpaka sasa inashikiliwa na timu moja tu ya Argentina.

Mechi dhidi ya Netherlands Messi aliwakejeli bench la ufundi la Netherlands na hakupewa kadi ya njano, hapa sijahesabia ile handball kabisa (hii nayo ni average point)

Siku 9 kabla ya fainali FIFA na viongozi wa AFA walisaini mkataba wa mabilioni ya fedha yakitumwa kwenye account ambayo sio ya shirikisho la AFA (hii ni big point)

2026 Argentina inapangwa kwenye kundi dhaifu, bado mechi zake zinajaa controversial yenye matukio mengi yanayoibeba Argentina. (Average point)

Mechi dhidi ya Cape Verde, Infantino anaweka wazi mapenzi yake kuwa ameteseka pamoja na mashabiki wenzake wa Argentina. (big point)

Mechi dhidi ya Egypt, bao mbili za kutangulia zinamfanya Infantino akasirike jukwaani. (Average point)

Argentina anafanya comeback na kupata goli la ushindi, Claudio Tapia na Infantino wana hug kwa furaha. (Big point)

Infantino anagundua amefanya mistake anaamua kushika bendera ya Egypt kwenye mechi ya baadaye ili kuua soo kupitia tukio lake alilolionesha kwenye mechi ya Egypt la kukumbatiana na Claudio Tapia baada ya kushindwa kuhimili hisia. (Big point)

Hizi ndio baadhi ya pattern ambazo zinam link FIFA, Infantino kwenye upendeleo wa wazi amaofanyiwa Messi na Argentina.

Wewe hauwezi kuniwekea hii pattern kwa Olise hata kidogo.

Na hiyo nimeifanya tu briefly ila kuna mengi sana nikianza kuandika hapa itachukua muda pengine kuyamaliza.
Pain landed as intended.
 
Jamaa atakuwa na msongo wa mawazo maana baada ya Cristiano wake kuwa na poor performance ever jamaa akahamia kwa Pemba, pemba nae kaondoka so jamaa anafosi wachezaji anao wakubali washinde kwa maandiko yake yake marefu Jamii Forums. Amechanganyikiwa
Jamaa anateseka sana juu ya Argentina, yeye kila kitu kwake kipo scripted. Nashangaa kama anahisi ni hivyo, kwanini timu anazozikubali zisipambane kabisa zimtoe? I mean wapige magoli mengi, hayawezi kukataliwa, halafu wazuie kwa akili uone kama yupo wa kuwazuia kushinda..

Eti wanakutana na timu rahisi, huyu jamaa anaugua
 
Anza kama ulivyoanza na taaluma yako ya urefa.

Hiyo hapo pichani una amua nini?

Na hapo kumbuka kuna favor za Messi na kuna favor za timu.

Faulo 14 hakuna kadi, mwenye faulo 11 ana kadi 5

Kuna vitu hata ukipinga unaweza kujiona mjinga.
Hili kombe lipo kwa ajili ya kumbeba Messi na Argentina
Jamaa linabebwa nje nje na mipenati ya mchongo ambayo anakosa.
 
Hiyo picha sijaiweka kwa bahati mbaya, umeifanya kuwa ajenda kwasababu hujasoma post ambazo nimekujibu.

Huo mtiririko wa matukio wenye aim ya kibiashara na ushabiki ni upi ambao tuki connect na hilo tukio tunapata conclusion ya FIFA kumbeba Olise?

Mfano mimi nikiweka hoja ya Messi na Argentina kubebwa na FIFA naweza ku pointi mapenzi ya raisi wa FIFA kwa Messi.

Infantino alisema anatamani Messi abebe kombe la dunia. (Hii ni average point)

Baada ya kusema kauli hiyo, Argentina alipewa penati 5. Ni idadi ambayo mpaka sasa inashikiliwa na timu moja tu ya Argentina.

Mechi dhidi ya Netherlands Messi aliwakejeli bench la ufundi la Netherlands na hakupewa kadi ya njano, hapa sijahesabia ile handball kabisa (hii nayo ni average point)

Siku 9 kabla ya fainali FIFA na viongozi wa AFA walisaini mkataba wa mabilioni ya fedha yakitumwa kwenye account ambayo sio ya shirikisho la AFA (hii ni big point)

2026 Argentina inapangwa kwenye kundi dhaifu, bado mechi zake zinajaa controversial yenye matukio mengi yanayoibeba Argentina. (Average point)

Mechi dhidi ya Cape Verde, Infantino anaweka wazi mapenzi yake kuwa ameteseka pamoja na mashabiki wenzake wa Argentina. (big point)

Mechi dhidi ya Egypt, bao mbili za kutangulia zinamfanya Infantino akasirike jukwaani. (Average point)

Argentina anafanya comeback na kupata goli la ushindi, Claudio Tapia na Infantino wana hug kwa furaha. (Big point)

Infantino anagundua amefanya mistake anaamua kushika bendera ya Egypt kwenye mechi ya baadaye ili kuua soo kupitia tukio lake alilolionesha kwenye mechi ya Egypt la kukumbatiana na Claudio Tapia baada ya kushindwa kuhimili hisia. (Big point)

Hizi ndio baadhi ya pattern ambazo zinam link FIFA, Infantino kwenye upendeleo wa wazi amaofanyiwa Messi na Argentina.

Wewe hauwezi kuniwekea hii pattern kwa Olise hata kidogo.

Na hiyo nimeifanya tu briefly ila kuna mengi sana nikianza kuandika hapa itachukua muda pengine kuyamaliza.
Duh hii risala hatari, na leo tunawapigia ingetra yenu, kombe hata likienda spain yote sana ni familìa moja hahaaaa, ila first first ni ARG
 
Back
Top Bottom