Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,405
- 12,709
Ulaya ni Ureno ndio huwa anamsumbua Spain na matokeo yake ni ngumu kutabiri ila hawa wengine Spain huwa anajipigia kirahisi tu.Sawa mkuu we kaa na hayo matokeo yako mfukoni England usiichukulie poa sana