joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,409
- 41,544
Messi kapendelewa wapi?Kwasababu wewe hauwagi refa kama ulivyokuwa leo.
Halafu Argentina kwenye ishu ya kupendelewa hao ni too much huwezi hata kuwawekea excuse kama hizi.
Hili tukio lingekuwa kafanya Argentina, ungekuwa umeandaa picha mia kidogo,kila siku ungekuwa unapost naona una Adobe ya kuedit picha.