adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,796
Lamine ubinafsi mwingi anafosi rekodi ashinde
Hii simu sijaikumbuka kwa miaka mingi sasa. Imekuwaje umeiwaza 😂Naangalia mpira TBC now , quality kama imerekodiwa na Tacno Y3 wagiftishe
HardrockNdugu zangu mna uhakika na taarifa za Mpumelelo kusajiliwa Zimbabwe?
Mbona kama huku namuona
View attachment 3620872
Hapa angetoa AssistNaona dogo ana usongo
View attachment 3620860
Kwa austria ni kawaidaAmezidiwaaaa
Huu mpira anacheza hapa Spain haumfungi France ng'o.Hapo ndo wakikutana na France wanajipigia coz wana uwezo wa kukaa na mpira france zao mbio tu
Sometimes tunawapaka tope tbc kwa uboro hafifu wa tv tulizonazo sebuleni mwetu. Mi pia game naangalizia tbc ila picha ziko clear kabisa full hd tofauti na mwanangu anaetumia star x ya masa dubai.Naangalia mpira TBC now , quality kama imerekodiwa na Tacno Y3 wagiftishe
Mimi natumia Hisense lakini naona uchafu tuu tbc, quality itakua 420p, azam nikiweka ni hd 1080 kitu safiSometimes tunawapaka tope tbc kwa uboro hafifu wa tv tulizonazo sebuleni mwetu. Mi pia game naangalizia tbc ila picha ziko clear kabisa full hd tofauti na mwanangu anaetumia star x ya masa dubai.