2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sasa mbona wewe unakuwaga refa kwenye muamuzi wa matukio ya Argentina au ikiwa Argentina unakuwaga refa ila leo ndio mtazamaji?

Ile Penalty kabisa bila shaka Digne alikosea mahesabu ya kucontrol mpira.
Kwasababu wewe hauwagi refa kama ulivyokuwa leo.

Halafu Argentina kwenye ishu ya kupendelewa hao ni too much huwezi hata kuwawekea excuse kama hizi.
 
Back
Top Bottom