Hii hata Spain akishindahatafika mbali, akikutana na USA, France au Portugal anabamizwa vizuri tu
Kijana inabidi achukue tahadhari bado haja recover 100%Yamal anaweza fanya kitu ?
Camera man ni kama anatubania hiviHizo Camera zipite pite basi Jukwaa la Cabo Verde tusafishe hata Macho.
Na hapa kakutana na Cape Verde ambayo timu nzima inacheza kama bekiSecond half sijaona kocha wa Spain kabadili nini. Naona hata South Korea anawatandika hawa hata robo hawaendi kwa mpira nyanya huu wanaocheza hapa.
Hawana strategy kabisa. Spanish wachezaji wa Real Madrid walioachwa wataona hamna sababu ya msingi iliyowaweka nje ya kikosi.
Me mpaka sasa naona team nyingi ziko average sijaona team ya kutisha mpaka sasaSpain hii haina maajab labda wabadilike huko mbeleni
Argentina bado hawajachezaMe mpaka sasa naona team nyingi ziko average sijaona team ya kutisha mpaka sasa