SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,304
- 1,994
We demu au me 😂😂😂Ukisikia mwanaume anatooom dakika 90 hakojoi ndohii sasa leo France tumeukalia
Maumivuuuuuuuuuuuu!!!
France ouuutttttt!
Mbape outttttt!!!
We demu au me 😂😂😂Ukisikia mwanaume anatooom dakika 90 hakojoi ndohii sasa leo France tumeukalia
Maumivuuuuuuuuuuuu!!!
France ouuutttttt!
Mbape outttttt!!!
Sasa hiyo utafanisha na njumu iliyokita kwenye kifundo.
Angalau hata Argentina anaweza isumbua Spain wenda hata kuifunga ila kwa timu za ulaya ni Ureno tu ndio huwa naona Spain huwa anapata tabu sana kutoka na matokeo mazuri hua hata anafungwa au anashinda ushindi mwembamba sana ila hawa wakina Ufaransa ,Spain sasa hivi hii ni match ya tatu mfululizo anajipigia tu Ufaransa.Hii mechi imeshangaza wengi aisee ..Spain wamewasoma vizuri sana Ufaransa..
Hawa wajukuu wa Charles wakitinga fainali baada ya miaka 60 watakamia mno ...
Utateseka sana mwaka huu 😂Wanangu wa England tusomame kesho
Ngoja tuone...
Mashabiki wa Ronaldo mpo 😂😂
Matokeo na mechi za Ufaransa na Spain za karibuni ulifuatilia ?Hii ngoma imekuja kuwa ngumu aisee 😃
Hawezi kubeba mbele ya Spain atafungwa kama alivyo fungwa kwenye EuroKwa Mpira huu kumbe Ata Uingereza mtashangaa anabeba Hii world cup
Zote ni foulSasa hiyo utafanisha na njumu iliyokita kwenye kifundo.