comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,622
- 17,801
Hiyo niachie Mimi, kila mtu ana uhuru wa kuchaguaMimi mwenyewe ni shabiki wa Argentina, na nitafurahi endapo tukipiga back to back 🏆 ila nikuombe tu acha udini na ubaguzi, najua huwapendi kwa sababu ni waarabu pia ni waislamu. Au nisivyo???