NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,573
- 3,665
Nakukumbusha tuu, game ya Nigeria na South Africa. Nigeria walifunga goal lakini likaja kukatawaliwa baada ya kuonekana kuna faul alifanyiwa mchezaji wa South ndani ya 18. so Goal lao likafutwa na South wakapewa Tuta.Huwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
kuna utofauti gani na hili linalokuumiza?