Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,134
Hapana kwa kweliHamia Argentina,huku kila siku ni sikukuu tu.
Na ni kwa sbb ya Messi tu, na nna sababu zangu binafsi. Sio kwa sbb ya Rinaldo
Hapana kwa kweliHamia Argentina,huku kila siku ni sikukuu tu.
Me leo ndio maana sitaki hata kuumiza moyo. Alichofanya jamaa haitaki torch. Tena sio kwa ile foul ya mwisho tu, tangia mwanzo jamaa alionesha yupo upande upiWote tumemuonaView attachment 3624552
Kila atua duaHawana kiwango kizuri wanashinda kwa bahati sana ngoja uone huko mbeleni watakavyotoka kwa aibu
💯💯💯Hawana kiwango kizuri wanashinda kwa bahati sana ngoja uone huko mbeleni watakavyotoka kwa aibu
Misri hawajafanya uzembe wowote ila Argentina waliamua kushinda mch3zoKushangilia timu za Afrika ni umajinuni tu.
Timu za Afrika huwa zinajihujumu zenyewe.
Wewe unadhani Argentina ndo wangekuwa wanaongoza 2-0 kukiwa zimebaki dakika chini ya 10 mpira uishe, wangeruhusu magoli matatu kizembe namna hiyo?
Me leo ndio maana sitaki hata kuumiza moyo. Alichofanya jamaa haitaki torch. Tena sio kwa ile foul ya mwisho tu, tangia mwanzo jamaa alionesha yupo upande upi
Hawashindi convincingly, ngoja tuone robo kama watafurukuta kati ya Switzerland na ColombiaKila atua dua
😀😀 wewe kucheka bado saaana Mkuu na hautakuja kucheka .Nikisema mechi iishe ndio nifurahi naweza nisifurahi kwasababu yambele siyajui.
Jana nilikuwa na siku mbaya sana na nilisema itafika time namimi nitacheka.
Wakati wenyewe nauona ndio huu sasa kwanini nisiutumie, ukiharibika je?
So yeah this is my hate watch
Tutaona safari ya mbeleko itawafikisha wapiHakuna madhambi kaka yule Salah alijidondosha acheni kutafuta sympathy 😄
😄😄😄😄
Yap kwasababu kwenye VAR room yupo baba yenu😀😀 wewe kucheka bado saaana Mkuu na hautakuja kucheka .
Wewe pamoja na Babu yako Cr7.
Mimi masikitiko na huzuni yangu mpaka Argentina apigwe ndo nitapata nafuuHahaha hakuna siku nimefurahi km leo toka World Cup ianze kudadek leo nimefurahi balaa nimefurahii hahaha
Yeah, ila Refa kapeta ngoja tuone watawabeba mpaka hatua ganiNa nilivoona kama kipa wa Egypt alikuwa anaiskilizia. Na ndio maana aliloose concentration. Lile goal ange concentrate lisingepita