2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wewe kutapeliwa inaonekana ni rahisi sana.
matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.

Matapeli pia hukataa kabisa makosa au ushahidi wa wazi unaowaonyesha ili kukulazimisha ukubali matakwa yao.

Mfano Messi ameonekana ana kiwango kizuri kuliko Ronaldo , unaona kabisa Argentina inasonga mbele na Messi anaendelea kupiga nyavu, halafu tapeli anataka kukuaminisha Messi si chochote...

Wewe huwezi kunitapeli..

Ninasimamia kile ninachokiona na kukijua badala ya kubadilisha mawazo yangu haraka pale unapopinga...

Bro, Messi ni Messi tu...

Da'Vinci

Acha utapeli Scars kama umechukia chukua jembe ukalime..
 
Wale watu waliokuwa wanahoji kwanini Ronaldo anaonekana kuchukiwa, kwanini ana ego.

Majibu ni haya.

Kwenye moments kama hizi Ronaldo hajawahi kukaa kimya na akiongea anaongea kwa tone ya kukemea na sio kufanya blanda za kumkanda umbwa ufyele.

Wahusika wa matukio huchukia sana kwasababu wamekuwa exposed na jamaa influence yake ni kubwa hivyo ujumbe unasambaa kwa haraka zaidi.

Ndio maana FIFA wakaamua kumpandisha Messi kwa kumpa treatments za juu ili awe mshindani wa Ronaldo na aweze kumvua crown yake.

FB_IMG_1783371623333.jpg
 
Mbali na uchekeshaji ni kipaji gani kingine ulichonacho?
 
Familia yako inafahamu kuwa wewe ni comedian au tunajua peke yetu tu huku JF?
 
Wale watu waliokuwa wanahoji kwanini Ronaldo anaonekana kuchukiwa, kwanini ana ego.

Majibu ni haya.

Kwenye moments kama hizi Ronaldo hajawahi kukaa kimya na akiongea anaongea kwa tone ya kukemea na sio kufanya blanda za kumkanda umbwa ufyele.

Wahusika wa matukio huchukia sana kwasababu wamekuwa exposed na jamaa influence yake ni kubwa hivyo ujumbe unasambaa kwa haraka zaidi.

Ndio maana FIFA wakaamua kumpandisha Messi kwa kumpa treatments za juu ili awe mshindani wa Ronaldo na aweze kumvua crown yake.

View attachment 3624734
Ronaldo ni hatari kuliko Messi.. hatari sana..
Ataipeleka timu yake fainali na kuchukua kombe...
 
Huwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
Nakukumbusha tuu, game ya Nigeria na South Africa. Nigeria walifunga goal lakini likaja kukatawaliwa baada ya kuonekana kuna faul alifanyiwa mchezaji wa South ndani ya 18. so Goal lao likafutwa na South wakapewa Tuta.

kuna utofauti gani na hili linalokuumiza?
 
Back
Top Bottom