Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,447
- 17,929
Mzee wa malalamiko kashaanza huko. Spain wanahitaji offensive tu.
Where is penaldo??
#Hallelujah!!!
😂😂😂Mtu akakae na Wajukuu
Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.Nafasi walizotengeneza Spain wangezipata Portugal wangekuwa wanaongoza bao 5 mpaka sasa
😂😂😂😂😂😂Christina analaumu wenzake baada ya kupigwa bao palee😂😂😂😂😂
Spain wao wanaridhisha kwenye ushambuliaji wao ambao wanakosa nafasi nyingi?Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.