Cha msingi Argentina na Spain hawapoNaweza kupredict
FINAL:
FRANCE vs BRAZIL
Hy maneno hatutaki kuskia ushaskia.🚨 Reporter: “Mbappé or Messi who’s the best?”
🗣️ Michael Olise: “Messi. Always Messi. Mbappé is incredible, but Messi is on another level.”
Kama Brazil akimtoa Argentina sio na Ufaransa akimtoa Ureno/Hispania.Naweza kupredict
FINAL:
FRANCE vs BRAZIL
Argentina ana kibarua kizito kuwatoa colombia kwanzaKama Brazil akimtoa Argentina sio na Ufaransa akimtoa Ureno/Hispania.
Mechi nzuri sana hii ila historia inaibeba Argentina.Argentina ana kibarua kizito kuwatoa colombia kwanza
Ni kweli kabisa.Haikuwa bahati kwa Ghana
Nimerudia kama mara 3 kuangalia, inachekesha sana inanikumbusha tukio la Oscar Ligi ya china aliwabutua timu pinzani na mpira usoni kwa makusudi zaidi ya mchezaji mmoja mtiti ukazuka uwanjani.
😃Cha msingi Argentina na Spain hawapo
Kwasababu kocha wao nim-ArgentinaNimerudia kama mara 3 kuangalia, inachekesha sana inanikumbusha tukio la Oscar Ligi ya china aliwabutua timu pinzani na mpira usoni kwa makusudi zaidi ya mchezaji mmoja mtiti ukazuka uwanjani.
Paraguay walicheza kihuni sana Mbappe alikuwa anapanic akaamua Bora awe anacheka tu , mechi nzima jamaa wanapiga rafu za kihuni na kitoto sana
Mbona unalia sana, kwani hao walikuwa watoto wa kike wanacheza mdako?Paraguay wangeambiwa hii ni hatua ya Knockout lakini sio knockout (KO) ya kina Tyson na wenzakeView attachment 3622975View attachment 3622976View attachment 3622977View attachment 3622978View attachment 3622979View attachment 3622980View attachment 3622981View attachment 3622982View attachment 3622983View attachment 3622984View attachment 3622985View attachment 3622986View attachment 3622987View attachment 3622988View attachment 3622989View attachment 3622990View attachment 3622991View attachment 3622992View attachment 3622993View attachment 3622994View attachment 3622995View attachment 3622996View attachment 3622997View attachment 3622998
DduuhhParaguay wangeambiwa hii ni hatua ya Knockout lakini sio knockout (KO) ya kina Tyson na wenzakeView attachment 3622975View attachment 3622976View attachment 3622977View attachment 3622978View attachment 3622979View attachment 3622980View attachment 3622981View attachment 3622982View attachment 3622983View attachment 3622984View attachment 3622985View attachment 3622986View attachment 3622987View attachment 3622988View attachment 3622989View attachment 3622990View attachment 3622991View attachment 3622992View attachment 3622993View attachment 3622994View attachment 3622995View attachment 3622996View attachment 3622997View attachment 3622998
Pessi fans nilijua tu mtakuja juu.Mbona unalia sana, kwani hao walikuwa watoto wa kike wanacheza mdako?
Mi mshabiki wa France.Nyie watu sijui kwanini mnakua na chuki na morocco, ufaransa alivyopata shida kwa paraguay, sasa kwa morocco ndio ataweza! Wana bahati wameshinda kwa penalt
Atleast Morocco jana wametufuta machozi😅😅 Ukimbie uzi kwa nini sasa rafiki.
Pole sana mie nilikuwa nawaza kama wewe kutokuangalia ila kijinafsi kinaniambia we tizama tu. 😅 Hivyo tutizame tu.