2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

USA alikuwa rahisi kumfunga kwasababu hakuwa tishio hivyo Paraguay hakuwa na mikakati ya kuzuia sana.

France imecheza fainali, na pia ndio timu inayopewa nafasi ya juu kuchukua huu ubingwa lakini kama haitoshi performance yake imekuwa ni kubwa sana.
Kwa perfomance waliyoionyesha France , kila timu inaiogopa sana hivyo wanatumia mbinu na kujituma zaidi...
 
IMG_0757.jpeg
 
Madhara ya kupaki basi ndio haya na muda mchache uliopita nimetoka kuelezea consequences za kupaki Irizar.

Wachezaji wanakuwa trained mazoezini sio kwa mbinu za kucheza mpira, kuna mbinu ya kunufaika na faulo ambayo ikatoa advantage kwa timu yako.

Mchezaji akushafika kwenye box anakuwa weightless ukimgusa tu yupo chini. VAR inapima mgusano haipimi effect ya mgusano kama ilikuwa ni hard au soft.
 
Full time Paranawee 0-1 France

Wakamaria leo mtatusamehe leo hakuna GG wala over 1.5

Nyie wenyewe mashahidi mmejonea ile Yutong kule mbele na kufanya iwe ngumu kupita.

Goodbye and good riddance Paraguay

 
“Tulifanyiwa fitina kutoka kwenye uongozi wetu. Hotel mbaya. Chakula kila mtu anajitegemea tunakula migahawani wengine wakiagizia kwa delivery. Tulikosa morali tangu mechi ya kwanza. Uongozi umetuhujumu na wananchi walijue hilo”View attachment 3620558

Hawajui mpira, bora hata ya congo walijitahidi

Halafu wasirudie tena kulinganisha Morocco na timu yoyote afrika, na kombe hawakuatahili kuchukua.
 
Back
Top Bottom