de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,968
- 19,721
Nimeizoea ya mlimbwende mkali nafurahi tu kuicheki Natamani kwa machoo
Nimeizoea ya mlimbwende mkali nafurahi tu kuicheki Natamani kwa machoo
Natamani niangalie lkn me ndio pono. Tabia ya upopo nilishaicha kitambo, saivi nathamini kupumzika kuliko kitu chchtKam kauwaaaaa ntakuepo!
Mpk tumalize WCNimeizoea ya mlimbwende mkali nafurahi tu kuicheki Natamani kwa machoo
Basi Nita miss that version of you... Na unaweza kuwa kwenye thread na nisijueMpk tumalize WC
تبكي جداHongera sana ustaZ wangu kwa ushindi mlioupata
angepewa Hakimi kama alivyopewa lamine
same scenario ya spain assist 2,gori 2 na huku vile vile
Ndio nin hiki aiseeتبكي جدا
Inatolewa na ufaransa mbele hapo sisi watesi tutafurahKuichukia Morocco Ni kujitafutia pressure na kisukari cha bure