Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Kam kauwaaaaa ntakuepo!Tukutane saa sita
Kam kauwaaaaa ntakuepo!Tukutane saa sita
AnatubaguaUkimaanisha?
Zilivyokuwa mbili ulikuwa huamini?Kwa sasa naona wameshavuka.
Ulikuwa tuanaangalia muda
Jamaa wana game ngumu sana, wanaanzaga kama majogoo waliopigwa mvua.. ila kadri muda unavyosogea frying pan inazidi kuchemkaBora yule kuliko walichokua wanakifanya wakongo 😂😂 na ile siku ya senegal vs France ...
Angalia chuma hiko aaah Dima maghreb
Hapo ufaransa atapita akutane na morokoVs Paraguay
Paraguay.Jmn France na wapi ?
Akina PENaldo wao unajua?Jmn France na wapi ?
UnaelewaUkimaanisha?
Haikuwa bahati kwa Ghana
Unasemaje?Waombe radhi Africa kusini kwa kuwakebehi baada ya kupoteza mbele ya Canada
Jamaa zenu wametepetaJamaa zetu hata moja la kufutia machozi basi
Mi niliangalia hadi FTGhana nayo imetuangusha aisee.
Niliamka kama dakika ishirini baadae nikagoogle live streaming kuona game ngapi ngapi nakuta tushafungwa moja nikaamua kurudi kulala.
Pole.
Hongera sana ustaZ wangu kwa ushindi mlioupataZilivyokuwa mbili ulikuwa huamini?