PamojaBrazil vs Norway Prediction | Je, Over 1.5 Goals Ina Thamani?
Brazil na Norway wanakutana leo kwenye mchezo mkubwa wa Kombe la Dunia.
Kwa maoni yangu, chaguo salama ni:
✅ Over 1.5 Goals
Sababu:
- Brazil ina safu kali ya ushambuliaji.
- Norway ina washambuliaji hatari na inaweza kupata angalau bao.
- Mechi za hatua ya mtoano mara nyingi huleta nafasi nyingi za kufunga.
Utabiri wangu: Brazil 2–1 Norway.
Uchambuzi kamili, vikosi vinavyotarajiwa na betting tips:
👉 Brazil vs Norway Prediction: Over 1.5 Goals | FIFA World Cup 2026
Asante kwa Mtazamo wako.Brazil vs Norway Prediction | Je, Over 1.5 Goals Ina Thamani?
Brazil na Norway wanakutana leo kwenye mchezo mkubwa wa Kombe la Dunia.
Kwa maoni yangu, chaguo salama ni:
✅ Over 1.5 Goals
Sababu:
- Brazil ina safu kali ya ushambuliaji.
- Norway ina washambuliaji hatari na inaweza kupata angalau bao.
- Mechi za hatua ya mtoano mara nyingi huleta nafasi nyingi za kufunga.
Utabiri wangu: Brazil 2–1 Norway.
Uchambuzi kamili, vikosi vinavyotarajiwa na betting tips:
👉 Brazil vs Norway Prediction: Over 1.5 Goals | FIFA World Cup 2026
Correct score Norway 2-1 BrazilAsante kwa Mtazamo wako.
Ila mimi naitakia timu ya Norway ushindi mzito
Sio rahisi kama unavyodhani utashangazwaInatolewa na ufaransa mbele hapo sisi watesi tutafurah
Hatukatai Ronaldo anaweza kuwa anapendwa zaidi lakini haiondoi ukweli kuwa Messi Ni G.O.A.THadi maofisa wanataka selfie na GOAT.
View attachment 3623361
Wewe huipendi Brazil niniAsante kwa Mtazamo wako.
Ila mimi naitakia timu ya Norway ushindi mzito
Mpaka saa tano...
FIFA ndio wamempa hiyo titleSio rahisi kama unavyodhani utashangazwa
Hatukatai Ronaldo anaweza kuwa anapendwa zaidi lakini haiondoi ukweli kuwa Messi Ni G.O.A.T
Yeah nilivo na usingizi hapa nahisi sitaweza kutoboa!Mpaka saa tano...
Uhakika...Yeah nilivo na usingizi hapa nahisi sitaweza kutoboa!
Hapana lo! Wajua Nina weeks nasafiri huku kule sijatulia kabisa.. Jana ndo nimetua sasa nmechoka sanaUhakika...
Hispania inamsubiri...Hadi maofisa wanataka selfie na GOAT.
View attachment 3623361