2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

18 goals
FB_IMG_1783256594073.jpg


18 years
FB_IMG_1783256598640.jpg
 
GOAT effect


Hapa ni training ground

 
Brazil vs Norway Prediction | Je, Over 1.5 Goals Ina Thamani?


Brazil na Norway wanakutana leo kwenye mchezo mkubwa wa Kombe la Dunia.


Kwa maoni yangu, chaguo salama ni:


✅ Over 1.5 Goals


Sababu:


  • Brazil ina safu kali ya ushambuliaji.
  • Norway ina washambuliaji hatari na inaweza kupata angalau bao.
  • Mechi za hatua ya mtoano mara nyingi huleta nafasi nyingi za kufunga.

Utabiri wangu: Brazil 2–1 Norway.


Uchambuzi kamili, vikosi vinavyotarajiwa na betting tips:
👉 Brazil vs Norway Prediction: Over 1.5 Goals | FIFA World Cup 2026
 
🇺🇸 Folarin Balogun will be eligible to face Belgium, after FIFA opted to hand him a suspended one-game ban under Article 27.

The red card stands, but he’s free to play — as @MelissaMOrtiz reported.

#Mbeleko
IMG_0765.jpeg
 
Kundi hili lote linakubaliana kuwa CR7 ni GOAT

Imagine wamefika hapo kwa nauli zao, kwa gharama zao na hawajalipwa na mtu ni mapenzi tu.

Kwenye hilo nyomi kuna kila aina ya mtu, kuja kila aina ya rika, kuna kila aina ya wasomi unaowajua wewe.

Then katika hao wote waliopo hapo, walioacha usingizi wao, walioacha majukumu yao, eti hawajaweza kuona fact ya msingi ambayo member watatu au wanne wa hapa JF wameiona inayoonesha kuwa CR7 sio GOAT.

Hapa sasa ndio utaamini ile kauli ya "Mbishana na wengi ni mchawi"

 
Back
Top Bottom