Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,539
- 61,986
“Tulifanyiwa fitina kutoka kwenye uongozi wetu. Hotel mbaya. Chakula kila mtu anajitegemea tunakula migahawani wengine wakiagizia kwa delivery. Tulikosa morali tangu mechi ya kwanza. Uongozi umetuhujumu na wananchi walijue hilo”