2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1783053539592.png
 
3 World Cup trophies won by ArgentFIFA
View attachment 3620630
Nikikumbuka fainal ya 2022 ufaransa alipewa penalty mbili za uongo nashangaa unavoikandia Argentina

dkk 30 za nyongeza Argentina akiwa anaongoza kwa goal 3-2 dhidi ya ufaransa
mchezaji wa ufaransa alinifanya rafu mbaya Messi akachukua mpira messi akaanguka chini ikaenda kuzaa goal la kusawazisha

sidhan km Messi alishawah kubebwa uwanjani tofaut na unavo display humu

be sportsman
 
Back
Top Bottom