2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

African Transport
1782980299455.png
 
Kuna jamaa leo hii aliniambia kuwa watu weusi huwa akili yao inaishia kipindi cha kwanza tu cha mpira, baada ya hapo hamna kitu tena...naweza kukubaliana nae🤣
Wote wanakuja kuzidiwa mwishoni, tafauti na Morocco
😀😀 Hata Starling mwanzoni huwa anapigwa na jambazi. Lakini mwishoni lazima jambazi liuwawe.
 
Mkuu naomba uniwekee rate za mechi zote ambazo Lamine Yamal alikutana na France,England, Portugal, Real Madrid,New Castle
Naomba uweke hapa!
Lengo ni nini?

Kupima kama alicheza vizuri?

Yes alicheza vizuri.

Ila performance yake inaendana na hype anayopewa?

Hapa ndio concerning yangu ilipo.
 
Kosa kuu la kocha wa Senegal ni kumtoa Pape Gueye.
Hata asingetolewa ni yale yale tu, naona hata zile goli waliwabahatisha tu, ni vile tu wameikuta belgium imechoka, sio ile ya akina hazard, origi, kompany, alderveireld, vermaelen, vertonghen, marouane fellain, dries martens, adnan januzaj. Wangekufa nyingi sana hao
 
Kimewaka Senegal huko

🚨🗣️ Pape Gueye after the elimination from the World Cup from Senegal:

"I will come back to say a few words about the elimination, but I am announcing today that as long as this coaching staff is in place, I am taking a break from the national team."
 
Back
Top Bottom