2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hii offside ya Croatia ilikuwa move nzuri. Sioni kama Portugal wana hatari safu ya mbele. Wanamtegemea Ronaldo kama striker wa mbele kabisa ila hana pace nzuri na hivyo mashambulizi yao yanapungua tishio. Nadhani wamekosea formation ya kumuacha peke yake.
 
Wacha nilale tena nikisikia ki-notification kwenye sofascore nacheki.

Nikikuta Croatia ndio wamepata goli nalala, kama ambavyo nilinyuti baada ya kupata goli la kuongoza.
 
Back
Top Bottom