Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,239
- 4,738
Muacheni dingi ale pensheni
Abebe hili tujue hatumdai lolote
Muacheni dingi ale pensheni
Ni ngumu sana Portugal kuchukua kombe kwa performance yao.Muacheni dingi ale pensheni
Abebe hili tujue hatumdai lolote
Kuna post nimekasoma humu kuhusu muda ,nafasi na sintofaham katika mpira kukinzana na mlengo wa kisayansi kama data za uwanjani katika kuamua matokeo uwanjan.Ni ngumu sana Portugal kuchukua kombe kwa performance yao.
Hii inakuja ukiziangalia timu zingine ambazo ni hatarishi kama France.
Kufikiria kwamba Portugal atam outperform France sio rahisi.
Mm napenda ballKuhusu 2022 World Cup, hii tunaweza kuzungumza mengi sana ambayo kama wewe ni shabiki wa Messi na Argentina usingependa kukumbushwa namna mlivyobebwa.
Saa tatu usiku huku kwetu wakati Argentina na Cape Verde itakuwa saa saba.Muda?
Sina uwelewa nancho mimi au wewe? Unaintroduce kitu hujui kukielezea.So, hata nilivyoandika vile kumbe hukuelewa muktadha wa nilichoakiandika?
Nilikujibu sina muda wa kuupoteza kukuelezea hoja ya factors za kutambua timu kubwa kwa kile ulichokiri kuwa huna uelewa nacho.
Lile jibu halikumaanisha kwamba sita-reply tena post yako au kukukosoa sehemu nyingine ambayo naiona haiko sawa.
SemaTayana...
Okay twende taratibu.Mm napenda ball
sio shabiki wa mtu
Argentina alibebwa tukio gani
Capacity yako ya kuelewa ni ndogo.Sina uwelewa nancho mimi au wewe? Unaintroduce kitu hujui kukielezea.
😅😅😅 Bila shaka Mtani umeshawahi kukutana na ile kauli ya "ya Mungu ni mengi"Mtani bhana bado una imani na Cape Verde kumtoa Argentina😂
Inabidi jua litoke kaskazini lizame kusini
Huwezi kufa bana. 😂😂Mjiandae kunizika siku spain au Argentina ikitolewa. Hapa tu bado jina trauma ya Amad Dialo