Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,764
- 9,523
Nikikumbuka fainal ya 2022 ufaransa alipewa penalty mbili za uongo nashangaa unavoikandia Argentina3 World Cup trophies won by ArgentFIFA
View attachment 3620630
dkk 30 za nyongeza Argentina akiwa anaongoza kwa goal 3-2 dhidi ya ufaransa
mchezaji wa ufaransa alinifanya rafu mbaya Messi akachukua mpira messi akaanguka chini ikaenda kuzaa goal la kusawazisha
sidhan km Messi alishawah kubebwa uwanjani tofaut na unavo display humu
be sportsman