ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,647
- 4,247
Kwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.Croatia wamedhulumiwa goal lao wazi kabisa
Hii dhuruma italipwa mashindano hay haya
Kwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.Croatia wamedhulumiwa goal lao wazi kabisa
Hii dhuruma italipwa mashindano hay haya
amefidia dakika za ushangiliaji za urenoRefa karekebisha makosa yake ya kuongeza muda usio halali
Wewe ni ureno lia lia…gudubaiKwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.
Mbele kuna tuta la SpainKwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.
Magoli mawili yamekataliwa kisa offside….nah.Bila offside Portugal walikuwa wameisha. Maana pace waliyonayo Croatia sahivi balaa. Ila Croatia wamepambana sana.
Bingwa UrenoKwa taarifa yako Mechi Hii ndo inatoa Bingwa.
Hii ni derby kama Yanga na Simba bongo.Haya sasa mechi ya kisasi Spain vs Ureno.
Amecheza kwa bidii mnoo.mtakatifu Luka amezima sana kwenye kiungo licha ya umri wake kuwa mkubwa…
Kwa uchezaji ule wa Bruno na Vitinha ni lazima iwe hivo.Cristiano Ronaldo's penalty against Croatia was his only touch inside the opposition box in his 81 minutes spent on the pitch.
It was also his first-ever goal in the knockout stages of the World Cup.
Croatia wanaweza wakawa wamepoteza mchezo
Ila wameshinda nyoyo zetu…class