2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nilipata hasira nikapumzisha fuvu langu baada ya Belgium kurudisha goli 2 ndani ya dakika chacheee hapa ndo nmeamka niangalie mwisho walitokaje kwahizi koments sitafuti koments ya Full time wacha nikawashe moto nibandike zangu ndondo tu tule mapema.
Ni huzuniii

Cc Smart911
Yaani. Wamezingua sana wale Simba wa Teranga.

Mimi muda huu ninavyosinzia hapa ndo najikuta najuta usingizi wangu nilioupoteza pale ile usiku.
 
Unadhani! Mie nakubali kabisa wala sikupingi Gemini mwenzangu. 😅😅

Nilijikuta najuta kukaa macho. 🙃 inakera sana
Mm nilijua tayari wameshinda nikawa upande wao daaah. Sifanyi kosa hili tena....Nimeumia sana ila sio kama kwa IC, pole Gemini mate
1000056826.jpg
 
Back
Top Bottom