2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Edo Kumwembe studio alisema havai viatu mpaka Senegal ashinde😂
1000180595.jpg
 
Mtangazaji wa azam alimnanga sana
Si wamezoea makocha Wamatumbi wanafanya calculations kwa macho, wanakariri maamuzi, wanafanya sub uchwara.

Kocha wa Kiafrika nao mashabiki, wanasimama wanatazama mpira, wanashangilia vibaya mno kama wamebeti. Kocha wa duniani wanashangilia kidogo, wanajadili mbinu na team yaani sio muda wote macho kodi uwanjani, wanasoma mchezo na kuandika pembeni baadae wanatumia notes kufanya subs, maamuzi, kubadili pace, kupangua formation.
 
Back
Top Bottom