2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kocha wa Senegal muda huu
giphy (8).gif
 
Muda wa kubishana Mkuu haupo tena.Amefunga Goli na kawapa timu yake nguvu.Tuendelee kumbeza
Yeye ni striker, sio kipa. Kwahiyo kufunga sio kitu cha ajabu. Angedaka hapo ndio ungekuwa mjadala. Hata Sarr kafunga, Diarra kafunga, Tielemans kafunga.

Ila bado Lukaku kwa sasa sioni kama ni mchezaji tishio akikutana na team zisizo za third world countries.
 
Back
Top Bottom