2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

KIngine tunaridhika haraka.

Yaani zile bao mbili Senegali waliziona kama 10 mwishowe mtu anazirudisha ndani ya dakika mbili. Lol.
Nilipata hasira nikapumzisha fuvu langu baada ya Belgium kurudisha goli 2 ndani ya dakika chacheee hapa ndo nmeamka niangalie mwisho walitokaje kwahizi koments sitafuti koments ya Full time wacha nikawashe moto nibandike zangu ndondo tu tule mapema.
Ni huzuniii

Cc Smart911
 
FB_IMG_1782968623271.jpg

Wataalamu wa numerology mje mtudadavulie hapa. Kunani dakika ya 86?
 
Back
Top Bottom