Aisee Leo tupo pamoja nimeumia kwel haya ni maajabu, wasipopita itakua mbaya sanaHaya matimu ni kama yana laana aisee.
😂😂😂😂 Katangazaji ka azam kalisema UTAANDIKA SANAAAAZIle notes alizokuwa akiandika Rudd Garcia zimemlipa...dah
Magoli yote waliyofungwa timu za Afrika niliyaona. Ukishaona wachezaji hawakabi aggressively, hesabu hilo goli.Oya utakua mchawi
Kwahilo hata Mimi nasimama na makobaz yan timu ni moroco tuIla weusi sio wakuaminika bora nibaki na waarabu wangu🤣🤣
Daaah aiseee sitaki stress tena weusi wana shidaHaya matimu ni kama yana laana aisee.
Africa takataka🚮🚮🚮🚮Aiseee Shadee alisema