Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,810
- 21,023
Timu za Afrika zinahitaji wanasaikolojia na wale motivational speakers.
Hizi Dakika Ghana tutafanya jamboView attachment 3620305
Wataalamu wa numerology mje mtudadavulie hapa. Kunani dakika ya 86?
Usikae mbali na uziHao ndio wanapigika vibaya sana.
Inabidi uwe na roho ya chuma kuamini hivyo.Hizi Dakika Ghana tutafanya jambo
Turudi tu kwenye timu zetu za UlayaHawa nao wameshindwa shikilia bomba bwana kha! Goli mbili nda i ya 62 seconds kweli
Turudi tu kwenye timu zetu za UlayaHawa nao wameshindwa shikilia bomba bwana kha! Goli mbili nda i ya 62 seconds kweli
😄😄🤣🤣View attachment 3617604
Wanavyofikiri na uhalisia
picha la kutishaView attachment 3620305
Wataalamu wa numerology mje mtudadavulie hapa. Kunani dakika ya 86?
Hamna kwa sasa wanakwenda 16 bora. Robo bado.Sawa kabisa.
Baada ya kutinga robo