2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

inasikitisha sana
FB_IMG_17822913062702248.jpg
 
Huu ndo ukweli mchungu mashabiki wa France hawataki kuukubali
🥶🇪🇸 “𝐈𝐍 𝐌𝐘 𝐕𝐈𝐄𝐖 𝐅𝐑𝐀𝐍𝐂𝐄 𝐂𝐀𝐍 𝑵𝑶𝑻 𝐁𝐄 𝐂𝐎𝐍𝐒𝐈𝐃𝐄𝐑𝐄𝐃 𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐓𝐇𝐀𝐍 𝐔𝐒”, says Lamine Yamal 💆🏽‍♂️💭

“France have not beaten us in two years and so they can’t be considered better than us”, Yamal has told El Larguero ✊🏽✨

“For sure Frace are at an excellent level, they have wonderful players but I don’t think they are now 𝐀𝐁𝐎𝐕𝐄 𝐀𝐍𝐘𝐎𝐍𝐄“ 🤷🏽‍♂️

“For me, I make it clear, 𝐍𝐎 𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐒 𝐀𝐁𝐎𝐕𝐄 𝐒𝐏𝐀𝐈𝐍“ 👀⚡️
 
Kama Messi ni mtu humble sana kama watu wanavyomsifia basi game ya leo itakuwa nafasi nzuri kwake kututhibitishia.

Kama ana amini dhana ya kuiweka timu mbele, kwanini leo asianzie benchi ili kuwapa nafasi vijana wadogo nao waonyeshe ubora wao kwenye hii hatua muhimu?

Yes, kama tuzo binafsi kwake sio kipaumbele then this is the ideal moment to let others take the spotlight.
View attachment 3620750
Umefikia huku...?...Kweli Messi anakukera..😃😃
 
Huu ndo ukweli mchungu mashabiki wa France hawataki kuukubali
🥶🇪🇸 “𝐈𝐍 𝐌𝐘 𝐕𝐈𝐄𝐖 𝐅𝐑𝐀𝐍𝐂𝐄 𝐂𝐀𝐍 𝑵𝑶𝑻 𝐁𝐄 𝐂𝐎𝐍𝐒𝐈𝐃𝐄𝐑𝐄𝐃 𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐓𝐇𝐀𝐍 𝐔𝐒”, says Lamine Yamal 💆🏽‍♂️💭

“France have not beaten us in two years and so they can’t be considered better than us”, Yamal has told El Larguero ✊🏽✨

“For sure Frace are at an excellent level, they have wonderful players but I don’t think they are now 𝐀𝐁𝐎𝐕𝐄 𝐀𝐍𝐘𝐎𝐍𝐄“ 🤷🏽‍♂️

“For me, I make it clear, 𝐍𝐎 𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐒 𝐀𝐁𝐎𝐕𝐄 𝐒𝐏𝐀𝐈𝐍“ 👀⚡️
Na hicho ndio kitu ambacho kinafanya mnione kama dogo namchukia.

Dogo ana control za mpira lakini za mdomo hana.

Imagine hapo ndio ana goli 1 lakini cheki level ya mdomo wake kwenye kuongea. Akiwa na goli 5 huyu itakuwaje?
1783016802006.png
 
Umefikia huku...?...Kweli Messi anakukera..😃😃
Messi alipoanzia benchi ile mechi yake na Jordan mlikuwa mnasema amefanya hivyo kwasababu jamaa hana greedy

Katoa nafasi kwa wachezaji wengine wacheze maana yeye muhimu ni timu kuliko rekodi binafsi.

Ndiio maana nimetamani kuona passion hii ikiwa consistently
 
Na hicho ndio kitu ambacho kinafanya mnione kama dogo namchukia.

Dogo ana control za mpira lakini za mdomo hana.

Imagine hapo ndio ana goli 1 lakini cheki level ya mdomo wake kwenye kuongea. Akiwa na goli 5 huyu itakuwaje?
View attachment 3620828
Mkuu wewe ni chizi na sio pekee yako bali na mashabiki wote wa Real Madrid. Huko juu umesema messi anajifanya humble wakati sio so hamumpendi kwa hilo Yamal yeye sio humble anakupokea kadri ya ulivyokuja na yeye pia hamumpendi.

Messi hamumpendi kwakua ni mkimha eti anajifanya humble
Yamal hamumpendi kisa anamdomo sana sio humble. Sasa tuwaelewe vipi???
 
Incident ya Messi kuanzia benchi ilipewa tafsiri ya u-hamble na mashabiki wa Barcelona sio kama aliongea yeye.

Lamine sio muongeaji, ni mlopokaji kwasababu anaongea shombo
 
Back
Top Bottom