mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Exactly.Ccm hawajawahi kushinda uchaguzi wowote!
Mkuu una akili timamuCcm hawajawahi kushinda uchaguzi wowote!
Hata punguan anajua haijawah shinda uchaguz wowoteMkuu una akili timamu
Chadema wakimtaja atakayekuwa mgombea wao msajili wa vyama atawaonya.Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama anataka madini yajulikane na wazungu maali yanapopatikana na jinsi yanavyo chimbwa, Lisu anatamani na kuamini kuwa madini yote ni yao wayachukuwe tu.
Mama anakauli zinazo badirika mdomoni, Lisu pia anakauli zinazo badilika sana.
Mama kama hana siasa na tabia za ujamaa, Lisu hataki hata kusikia neno ujamaa.
Mama anapenda Ulaya na kusafiri Ulaya, Lisu anapenda ulaya na anazunguka Ulaya na Marekani.
Baada ya similalitiz sasa tofauti zao:
Mama anatokea chama tawala, Lisu anatokea chama cha upinzani.
Mama ni mpole kuongea na vitendo, Lisu ni mkali, jaziba na hasira.
Mama haamini sama au kabisa katika katiba mpya, Lisu anaamini sana katika katiba mpya.
Mama anakijua kizungu mdomoni na kuandika lakini hajionyeshi, Lisu anatamani kizungu kiwe lugha ya taifa pakee bila kiswahili na anaona sifa kama wa TZ wote watajua kizungu.
Mama anaamini wanawake pekee ndiyo watakao mpa kura, Lisu anaamini nguvu ya umma ndiyo itamtoa.
Mama azungumzi kabisa mapenzi ya jinsia moja, Lisu anazungumzia sana mapenzi ya jinsia moja.
Ccm hawajawahi kushinda uchaguzi wowote!
Huyu aliyepo ameshakuvusha? Kama NDIO maana yake huitaji mwingine kama HAPANA huna sababu ya kujadili tafuta mwingine.Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama anataka madini yajulikane na wazungu maali yanapopatikana na jinsi yanavyo chimbwa, Lisu anatamani na kuamini kuwa madini yote ni yao wayachukuwe tu.
Mama anakauli zinazo badirika mdomoni, Lisu pia anakauli zinazo badilika sana.
Mama kama hana siasa na tabia za ujamaa, Lisu hataki hata kusikia neno ujamaa.
Mama anapenda Ulaya na kusafiri Ulaya, Lisu anapenda ulaya na anazunguka Ulaya na Marekani.
Baada ya similalitiz sasa tofauti zao:
Mama anatokea chama tawala, Lisu anatokea chama cha upinzani.
Mama ni mpole kuongea na vitendo, Lisu ni mkali, jaziba na hasira.
Mama haamini sama au kabisa katika katiba mpya, Lisu anaamini sana katika katiba mpya.
Mama anakijua kizungu mdomoni na kuandika lakini hajionyeshi, Lisu anatamani kizungu kiwe lugha ya taifa pakee bila kiswahili na anaona sifa kama wa TZ wote watajua kizungu.
Mama anaamini wanawake pekee ndiyo watakao mpa kura, Lisu anaamini nguvu ya umma ndiyo itamtoa.
Mama azungumzi kabisa mapenzi ya jinsia moja, Lisu anazungumzia sana mapenzi ya jinsia moja.
Ulimpigia kura nani 2020?Tatizo la Lissu ni kujitengenezea kesi kwa kusema hovyo na kutoa taarifa za uongo akiwa ughaibuni. Anapaswa awe makini na kile anachokisema au taarifa anazopelekewa na wafuasi wake kama anataka kuwa potential presidential candidate.
Mbowe huyu huyu gaidi?Chadema kama wako Makini wamlete Mbowe apambane na Samia sio Lissu
Lissu sio Mwanasiasa mzuri kimkakati, ni kama Slaa au Zitto, mbwembwe za kuzungumza wanaziweza sana ila Technique na tactics za Kisiasa anaziweza Mbowe
Tunataka Uchaguzi uwe Mgumu wenye ushindani ili sie Wasakatonge tutafutwe kama tulivyotafutwa 2015 kuongeza nguvu lakin uchaguzi ukiwa mwepesi sie Oya oya hatupati chochote
Mbowe huyu huyu gaidi?
Kesi gani kajitengenezea?Tatizo la Lissu ni kujitengenezea kesi kwa kusema hovyo na kutoa taarifa za uongo akiwa ughaibuni. Anapaswa awe makini na kile anachokisema au taarifa anazopelekewa na wafuasi wake kama anataka kuwa potential presidential candidate.
Afadhali unalielewa hilo.Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi hadi hapo itavyoamriwa tofauti
Uwe makini unapo mnyooshea mwenzako kidole. Kumbuka kuna vitatu vinakurudia wewe.Mkuu una akili timamu
Watajengea wapi vyama, vikao vya ndani wanakamatwa! Vya nje Rais alisema ni vurugu.HUU ULIKUWA MUDA MZURI WA VYAMA VYA UPINZANI KUJENGA CHAMA ,ILA KUMSIMAMISHA LISU KURA YANGU NAIWEKA CCM ,SIWEZI KUIWEKA NCHI ,KWA MTU ASIYE MZAKENDO SLIYEJAA VISASI NA KUSHABIKIA USHOGA
sent from HUAWEI
Sioni ntu sahihi ,kabisa upinzani labda waanze kuwatengeneza sasa ,ila asiwe mboe wala Lisu hakutakuwa na jipya ,upande wa pili ccm nao wanayakotoga huu ulikuwa ni muda wa kusoma alama za nyakatiWatajengea wapi vyama, vikao vya ndani wanakamatwa! Vya nje Rais alisema ni vurugu.
CCM wameihodhi nchi lakini wanashindwa kujenga uchumi kwa sababu wanatumia muda mwingi kwenye kuwatafutia makosa wapinzani.