Lugoda lwa chuma
Senior Member
- Mar 21, 2023
- 179
- 338
bado sijaelewa apo alipo simama lisu uku kwetu ni kilindo cha kupigia mahindi au ndo anapgia kampeniMbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.
Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.
Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye
Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.
View attachment 2629388
View attachment 2629396