2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.

View attachment 2629388
View attachment 2629396
bado sijaelewa apo alipo simama lisu uku kwetu ni kilindo cha kupigia mahindi au ndo anapgia kampeni
 
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.

View attachment 2629388
View attachment 2629396
ingawa sikutaka kusoma huu upuuzi wako, nataka nikuulize we na nani atakuwa rais wenu?
 
Acha mzaha wewe. Lisu huyu kibaraka wa mashoga kina armsterdam au mwingine? Lisu huyu kibaraka wa mabeberu? Lisu huyu kila kitu ni hapana hana wazo lolote chanya kwa maendeleo ya nchi?
Labda awe rais wako na familia yako
 
Wewe naona una tatizo la kutojua kusoma, au kama unajua kusoma basi una tatizo la kuelewa unachokisoma.
Ebu soma tena ile sentensi niliyonukuu, halafu uniambie yeye alikuwa anamsemea nani.
EeeenHeeeee!
Kwa hiyo wewe ulikuwa unanakili alichofanya yeye?

Hilo halikufanyi wewe uonekane kuwa bora zaidi yake.

Kutokana na hali hiyo, sikushangai wewe kuniona mimi kuwa sijui kusoma na kuelewa kama ulivyohoji.
 
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.

View attachment 2629388
View attachment 2629396
Hongera kwa kulitambua Ili bado mapema mimi nilisema hapa toka 2016 watu wakawa wananitukana!!!
 
Atakayekuwa Rais ni vema akawa mtu wa upatanisho na mwenye uelewano kuanzia Ngazi ya familia tutakuwa tumefanya Makosa makubwa kuchagua Rais mwenye visirani chuki uhasama na visasi itakuwa shida tutalimia Meno.
Mandela alionesha mfano mwema.
 
Back
Top Bottom