2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Hapana hiyo mbinu inabomoa sana saikolojia ya mpinzani wako.
Mwee hamna kitu kama hicho wee ukutane na wanaojua mpira unawapa mpira evo utahsaka kama dakika mbili hivi.

Lengo la mchoze wa mpira ninkufunga magoli menginkuliko mpinzani. Tunafungaje magoli? Kuupiga mpira kwenye lango la mpinzani. Sasa wee umepewa mpira umshambilie mpunzani unautoa nje alafu uanze tena kuutafuta....pwagu na upwaguzi huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…