kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,830
Hatrick...Musialaaaaaaa
Chuma 9
Hatrick...Musialaaaaaaa
Ulikuwa mbele ya muda mtaniYametimia Mtani.
Muda mzuri kabisa huo.Wydad anacheza na Man city jumatano saa 1 kamili usiku.
Auckland ni Kengold yenye wazunguHatrick...
Chuma 9
Wamenikumbusha kuna World Cup moja kama sio Ujerumani basi ni Argentina alimpiga Saudi Arabia za kutosha.Hatrick...
Chuma 9
Uko kwenye mawazo yangu! Nilitaka kusema kesho kutwa Kengold analevel tofauti ya magoli tuliyonayo na UtopoloAuckland ni Kengold yenye wazungu
Kabisa aisee. 🤣🤣Auckland ni Kengold yenye wazungu
Hata Brazil walishakula 7 wakiwa kwao Vs GermanWamenikumbusha kuna World Cup moja kama sio Ujerumani basi ni Argentina alimpiga Saudi Arabia za kutosha.
Kama sio 7 basi zilikuwa 9.
Washakula 10 sasa.Wamenikumbusha kuna World Cup moja kama sio Ujerumani basi ni Argentina alimpiga Saudi Arabia za kutosha.
Kama sio 7 basi zilikuwa 9.
Sema inatoaga mchezoni na kupoteza hamu ya kushiriki hasa ikiwaga game ya kwanza ka hivi.Hata Brazil walishakula 7 wakiwa kwao Vs German
Na mpira usivyo na huruma zimeongezwa dkk 5. Daah.Wameshapigwa goli kumi.
Atakuwa hana akili sawasawa.unakuta kuna mkamaria alizuia magoli hii mechi🤣🤣
Nimechanganyikiwa kwa kweli 10 bila.The Legacy mbona kimyaa au ww ni timu wafugaji..