Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,368
- 8,407
Hawa wavuvi wa samaki kutoka new zeland wamefikaje apa😁
Kindoki mtupuHuyo Kipa wa Timu nyingine ni Ally Salum mtupu 😃😃
Hata haufurahishi hovyooo kichwa kimejaa utopoloMmemuona Ally Salum? 😃😃😃
Golikipa wa hovyooo
Cha 7 😃😃😃Nakazia
MusialaaaaYaani sema this second half wamejitahidi kujaa jaa golini kwao huenda yasiongezeke sana.
NgumuWanangu wa Chelsea tunaondoka na kombe 😎
TUTAONANgumu
Ameshafanyiwa subYaani umefungwa goli sita halafu unashangaa Kane hajafunga, huu mtego.
Umemwona na Ateba waooo? 😃😃😃😃Hata haufurahishi hovyooo kichwa kimejaa utopolo
Nimemuona streka mijashoUmemwona na Ateba waooo? 😃😃😃😃