Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Nasimama na timu zote zinazocheza SAMBA, football made in Brazil
Hawa Auckland watoe timu uwanjani.Kikosi cha Bayern dhidi ya wavunja kuni wa Auckland View attachment 3370078
Dah. Inabidi wawaonee huruma. Kipindi cha pili waweke team 'B'Kuna timu inapigwa kipigo cha mbwa Koko huku 😃😃😃😃
🤣🤣Kuna timu inapigwa kipigo cha mbwa Koko huku 😃😃😃😃
DaaahDah. Inabidi wawaonee huruma. Kipindi cha pili waweke team 'B'
MvuaaHawa watakula nyingi
Jamaa hawana uwezo kabisaaDah. Inabidi wawaonee huruma. Kipindi cha pili waweke team 'B'
HahahaHawa Auckland watoe timu uwanjani.
Aibuu
Ushasikia 12-0?Hahaha
Ukiingia kwenye mfumo unakula fresh🤣🤣Ushasikia 12-0?