kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,830
😃😃Nimemuona streka mijasho
😃😃Nimemuona streka mijasho
Kayoko mtupuRefa hana huruma🤣🤣
Usishangae akandoka na mpira ujue.Musialaaaa
🤣🤣Refa hana huruma🤣🤣
Wydad anacheza na Man city jumatano saa 1 kamili usiku.Jamani mniambie ni mida gani na lini watacheza Mamelody na Wydad muda ukiruhusu niziangalie.
Hahaha nakubaliUsishangae akandoka na mpira ujue.
Yametimia Mtani.Hahaha nakubali
Nitabirie na mimi basi kuhusu safari yangu ya kuwania ubunge🤣🤣Usishangae akandoka na mpira ujue.