Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,807
- 9,790
Kindoki mtupuHuyo Kipa wa Timu nyingine ni Ally Salum mtupu ππ
Hata haufurahishi hovyooo kichwa kimejaa utopoloMmemuona Ally Salum? πππ
Golikipa wa hovyooo
Cha 7 πππNakazia
MusialaaaaYaani sema this second half wamejitahidi kujaa jaa golini kwao huenda yasiongezeke sana.
NgumuWanangu wa Chelsea tunaondoka na kombe π
TUTAONANgumu
Ameshafanyiwa subYaani umefungwa goli sita halafu unashangaa Kane hajafunga, huu mtego.
Umemwona na Ateba waooo? ππππHata haufurahishi hovyooo kichwa kimejaa utopolo
Nimemuona streka mijashoUmemwona na Ateba waooo? ππππ