Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,205
- 15,440
Sasa wajiandae na either Madrid au psgChelsea huwa anahangaishwa na waingerza wenzake ila akikutana na wa ligi nyingine, huwa sio kazi ndogo.
Hii tunabeba mkuu 😎Waingereza wanavyopenda Sifa.
Chelsea itaonekana ndio national team.
Wataanza campaign ya we will take it home 😃😃
Halafu wanapigwa
Maji kupanda mlima ni kipengele kizito sana kiukweli, washabiki wa Chelsea FC hatutaamini dhahama itayotukuta siku hiyo.....🤔😭Sasa wajiandae na either Madrid au psg
Hamna kitu mtabebaHii tunabeba mkuu 😎
Hata kufika fainali mlisema hatutofika 😂Hamna kitu mtabeba
Aje anyooshwe vizuri, Fluminence iliyokuwa mwiba kweli kweli jana kakalishwa na alizidiwa kila kitu.Sisi Chelsea tunamtaka PSG 😎
Mkuu unayajua ma PSG ya zama hizi? Utaona Leo Madrid atakavyokula kipigo!Mnaichukulia poa sana Chelsea eh!
Heeeeeee!Sisi Chelsea tunamtaka PSG 😎😂😂😂😂
Pia mlitegemea hatutofika fainali Ila tumefika 😂
Ngoja tuone lakiniHata kufika fainali mlisema hatutofika 😂
Mtatisha sanaNipo upande wa PSG mana ndo namtaka nicheze nae fainali, the blues tuchukue ubingwa mbele ya ubingwa wa Ulaya 🔥
Timu kubwa.PSG tujuane mapema