Huyo atakuwa shabiki wa Palmeiras na jezi zao za Crefisa. Uzuri kwenye hii michuano wapo, sijui watapata support ya mashabiki zao wengine huku bongo. Maana hii jezi ni popularDada hujadandia timu kweli [emoji1][emoji1]
Unatafuta maneno wewe sio bureMmemuona Ally Salum? 😃😃😃
Golikipa wa hovyooo
Unacheki ball mkuu?Unatafuta maneno wewe sio bure
Very popular...Huyo atakuwa shabiki wa Palmeiras na jezi zao za Crefisa. Uzuri kwenye hii michuano wapo, sijui watapata support ya mashabiki zao wengine huku bongo. Maana hii jezi ni popular
Na kundi lao ni kipengeleHuyo atakuwa shabiki wa Palmeiras na jezi zao za Crefisa. Uzuri kwenye hii michuano wapo, sijui watapata support ya mashabiki zao wengine huku bongo. Maana hii jezi ni popular
Eti bomu mochwari. LolBayer kadondosha bomb motuary 🤣🤣🤣🤣
Hapa tunamsubiria barcola na bwana mendez
Umenikumbusha kombe la CRDB nusu fainali dhidi ya Singida. 😅😅Huyo Kipa wa Timu nyingine ni Ally Salum mtupu 😃😃
Hapana mdogo wangu. 🤣🤣Dada hujadandia timu kweli [emoji1][emoji1]
Ooh. Ahsante.Wanatokea New Zealand
Leo wamejiokotea pochi kwenye maandamano🤣Mtani Bayern wananiwakilisha vyema huko.
Dkk ya 23 tuna bao 4.
NakaziaHawa hata Mnyama anajipigia tu
Sio khomeni?Huyo Kipa wa Timu nyingine ni Ally Salum mtupu 😃😃
aaah🤣🤣Hii tim ingekutana na bayern ya lewandowski mtu angebeba kiatu cha ufungaji siku ya leo
Hivi majamaa wanaovaaga hizo jezi wanajuaga hata ni za timu gani kweli?Huyo atakuwa shabiki wa Palmeiras na jezi zao za Crefisa. Uzuri kwenye hii michuano wapo, sijui watapata support ya mashabiki zao wengine huku bongo. Maana hii jezi ni popular
Daah! Hiyo Palmeiras ni ya Nchi gani Mkuu?Huyo atakuwa shabiki wa Palmeiras na jezi zao za Crefisa. Uzuri kwenye hii michuano wapo, sijui watapata support ya mashabiki zao wengine90 huku bongo. Maana hii jezi ni popular
Wanaangalia tu jezi ikiwa ina mvuto au jirani kavaa na yeye anavaa hawana habari.Hivi majamaa wanaovaaga hizo jezi wanajuaga hata ni za timu gani kweli?
Ally Salim ni moja ya watu ambao ni kielelezo cha kuwa bahati ipo. Uwezo wake ni wa kucheza daraja la pili lakini mpaka timu ya taifa anaitwa.Huyo Kipa wa Timu nyingine ni Ally Salum mtupu 😃😃
Yaani sema this second half wamejitahidi kujaa jaa golini kwao huenda yasiongezeke sana.Leo wamejiokotea pochi kwenye maandamano🤣