comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,688
- 17,954
Makocha mazuri wapo kibao wenyewe wanahangaika na kocha asie na uzoefu wowoteMentality ya wachezaji wa Bayern kwa dakika zile za mwisho za nyongeza ilikuwa ni kushambulia zaidi sio kuzuia au kumark ntu na ntu.
However, discipline ya ya wachezaji wengi wa PSG nayo haikuwa nzuri sana.
Vijana wanajua bwana unaangalia boli unafurahiHii PSG itatawala sana soka la ulaya
Kama red ya kwanza ilikuwa yakujitakia tuMentality ya wachezaji wa Bayern kwa dakika zile za mwisho za nyongeza ilikuwa ni kushambulia zaidi sio kuzuia au kumark ntu na ntu.
However, discipline ya ya wachezaji wengi wa PSG nayo haikuwa nzuri sana.
Tukutane baada ya dakika 90 mzeeHamtafurukuta Master.
Kila siku najiulizaga Bayern walitumia vigezo gani vya kumpati huyo kocha kwasababu hana uzoefu sana na timu hii ni kubwa siyo timu ndogo ndogo kama Arsenal au Aston villa, au FulhamMakocha mazuri wapo kibao wenyewe wanahangaika na kocha asie na uzoefu wowote
🤝Tukutane baada ya dakika 90 mzee
Nimemuua MadridChama langu DORTMUND Uwanjani leo
Ahhh! Leo mnacho.Chama langu DORTMUND Uwanjani leo
Leo wamecheza vibaya williams angekubali dili la kujiunga na bayern leo angeokota magoriVijana wanajua bwana unaangalia boli unafurahi
Leo Guirassy atafanya yake Adeyemi atajambisha mabek wa madridAhhh! Leo mnacho.
Nitawacheka sana
Ikiwa hivyo basi tutegemee yale yaliyotokea katika fainali ya UEFA champions leagueFainali
Chelsea VS PSG [emoji41]
Yeah, Pacho alidhamiria kuvunja mguu wa yule mchezaji wa Bayern.Kama red ya kwanza ilikuwa yakujitakia tu
Psg msimu ujao isipo sajili tena hawatakuwa na makali maana wachezaji wametumika sanaIkiwa hivyo basi tutegemee yale yaliyotokea katika fainali ya UEFA champions league
1hr to GoLeo Guirassy atafanya yake Adeyemi atajambisha mabek wa madrid
Ule mguu imekuje ukajikunja kirahisi vile?Kilicho mpata musiala nusu nilie
Sis barcelona kaul yetu hyoAchukue yoyote tuu kasoro Real Madrid