2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

wale ambao wamekuwa wakiponda ligi ya Saudi wako wapi?
 
Tatizo la bayern wakipelekewa moto mfululizo mpk dakika za 70 wanakata pumzi, nadhani ulishuhudia jana.
Hizo mbinu za mpira tactic na technic za mpira huyo PSG wenu mtamkataa tu japo hata sisi bayern kuna tunapwaya sana hasa eneo mbele.
 
mwenye live streaming aweke maana koora live wamezingua nw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…