Ooh! Haya Mtani.Swalama mtani, nipo safarini ndio maana unaona kimya
Imekuwaje tena wakati mechi iliyopita alitandaza soka safi kabisa?Mnaona kitu PSG anafanyiwa?
1-0
😄😄😀😀😃😃Vizee vya uarabuni vimepiga albadir na kisomo 😁😁
Ndio namba Moja hiyo mkuu lakini sie tumekalilishwa ni ya uingerezaNashauri ligi ya brazil iwe namba moja kwa ushindan duniani
Kule hakuna mabishoo kama OLISE Kule hawatak uzembeNdio namba Moja hiyo mkuu lakini sie tumekalilishwa ni ya uingereza
Exactly 💯 mkuu kule ni gusa achie twende kwao wale ndio waanzilishi wa boliKule hakuna mabishoo kama OLISE Kule hawatak uzembe
Sio Kamba Kweli Hii Mkuu?Ndio namba Moja hiyo mkuu lakini sie tumekalilishwa ni ya uingereza
Kamba gani sasa hivi unafatilia mpira kweli?Sio Kamba Kweli Hii Mkuu?
Muongo Mzee, League ya Brazil Sio Namba MojaKamba gani sasa hivi unafatilia mpira kweli?
Taja basi hiyo namba moja uliyo kalilishwa basiMuongo Mzee, League ya Brazil Sio Namba Moja