Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
Kwan kwa simba na al masry ilikuaje ike siku taa zina zimaSasa utakuwaje?
Zilibaki karibia Dakika 30
Kwan kwa simba na al masry ilikuaje ike siku taa zina zimaSasa utakuwaje?
Zilibaki karibia Dakika 30
Wabrazili na ubishi wao wametoka chap chap...Nimependezwa na namna wenzetu wanavyozingatia maelekezo,, ingekuwa bongo sasa hizo vurugu zake dah,,
Yani hata kwenye usalama wetu wenyewe lazima tulete complain,,Yaani kwanza kutoka mpaka wangekuja wale wa Fanya Fujo Uone. 😅
Chama langu Wydad ya shemeji yetuNipo Mtani. Mambo!
We chama lako ni lipi?
Ndo tupo hivyo mana haraka haraka tungehisi wanatudanganya. 😃Yani hata kwenye usalama wetu wenyewe lazima tulete complain,,
Umepigwa Mtani. 🤣Chama langu Wydad ya shemeji yetu
😃😃Wabrazili na ubishi wao wametoka chap chap...
Hivyo hivyoUmepigwa Mtani. 🤣
Vizee vya uarabuni vimepiga albadir na kisomo 😁😁Kawingu katuma iran hako
Wanaanzia dakika waliyo.ishiaMech itakapo rejea na magor yatarejea
Swalama mtani, nipo safarini ndio maana unaona kimya